Siku moja nikiwa Zambia, nilipokuwa mwalimu wa shule ya upili, niliweka tangazo fulani kwa sehemu ya taarifa za shule. Baada ya siku mbili nilipitia hapo na Walimu wenzangu Wazambia wawili. Niliona mtu mwingine alishafunika karatasi yangu kwa kuweka karatasi yakeRead more…